Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Baraka I. Leonard

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, wamefanya mazungumzo na Wajumbe wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Mifumo ya Kodi. Mazungumzo hayo yamefanyika tarehe 30 Aprili 2025, katika Ukumbi wa Spika, Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Mifumo ya Kodi, wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti, Mhe. Balozi Maimuna Tarishi walipomtembelea tarehe 30 Aprili 2025, Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa, alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma tarehe 16 Aprili, 2025. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Viongozi wa Access Bank Tanzania wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake, Ndg. Imani John (kulia kwake), walipomtembelea tarehe 16 Aprili, 2025 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akikabidhiwa rasmi Tuzo ya Heshima ya Malkia wa Nguvu na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba iliyotolewa na Clouds Media Group baada ya kuipokea kwa niaba yake tarehe 4 Aprili, 2025. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, wamekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Kamati ya Uchumi wa Taifa, Biashara na Mambo ya Kazi kutoka Bunge la Zambia walipowatembelea tarehe 9 Aprili, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilichopokea na kujadili Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge tarehe 8 Aprili, 2025 katika Ukumbi wa Spika, Bungeni Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu, akiongoza Kikao cha Mashauriano kati ya Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti kuhusu mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara mbalimbali Bungeni, Dodoma Mwenyekiti wa Maandalizi ya Mbio za Bunge Marathon, Mhe. Festo Sanga na Mkuu wa Taasisi ya GSM Foundation, Ndg. Faith Gugu wakionyesha fulana zitakazotumika kwenye Bunge Marathon itakayofanyika tarehe 12 Aprili, 2025, Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu, akizungumza wakati wa futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, kwa Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge tarehe 11 Machi, 2025 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Katiba Na Sheria Kwa Mwaka Wa Fedha 2025/26

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2025/26 Bungeni Jijini Dodoma

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Nisha ...

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwasilisha Maka ...

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Ofisi Ya Makamu ...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Eng. Hamad ...

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Ofisi Ya Rais-m ...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo ak ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Supplementary Appropriation (For Financial Year 2024/25) Act, 2025 Passed Download
The National Health Insurance Fund (Amendment) Bill, 2025 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025] First reading Download
The National Housing Corporation (Amendment) Bill, 2025 First reading Download
The Labour Laws (Amendments) Bill, 2024) Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
MAELEZO YA MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMВА MADELU (MB), WAZIRI WA FEDHA AKIWASILISHA KATIKA KAMATI YA BUNGE ZIMA MAPENDEKEZO YA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download
MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2025/26 Download
MAELEZO YA SPIKA KUHUSU MATUKIO MUHIMU KUELEKEA NA WAKATI WA MKUTANO WA KUMI NA TISA WA BUNGE Download
BUNGE NEWSLETTER NINTH EDITION-FEB.2025 Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 17 WA BUNGE LA 12 TAREHE 8 NOVEMBA, 2024 DODOMA Download

Education And Outreach

EDUCATION

Parliament & Commitee Sessions And Sittings

Quick Links