Parliament of Tanzania

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Msajili Msaidizi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Ndg. Sisty Nyahoza akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria  kuhusu uchambuzi wa miswada Wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Chama  cha Mabunge ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA-AFRICA REGION) katika katika kikao Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiwa katika kikao  na Watendaji wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Adelardus Kilangi akiwasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbali mbali mbele ya Kamati ya Bunge ya katiba na Sheria Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Mussa Zungu akiongoza kikao cha kamati wakati walipokutana na Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika kikao kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma na Watendaji  wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

TANZIA

MAREHEMU ALOIS D. MAKOI

Vacancy for the Position of Secretary General

The SADC Parliamentary Forum is a regional organisation of 14 Parliaments of the ...

Kamati za kudumu za Bunge zaanza kukutana Jijini D ...

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, katika kikao Ofisi za Bunge Ji ...

Timu ya Bunge yarejea na medali 16 kutoka katika m ...

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (mwenye koti nyeusi) akiwa katika picha ya pamoj ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Written Laws (Miscellaneous Amendments (No. 4) Bill, 2018 First reading Download
The Tanzania Meteorological Authority Bill, 2018 First reading Download
The Land Transport Regulatory Authority Bill, 2018 First reading Download
The Political Parties (Amendments) Bill, 2018 First reading Download
The Water Supply and Sanitation Bill, 2018 First reading Download
Details Options
Click Here for More What's On
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. Download
Hotuba ya Mheshimiwa Kassim M. Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa kuahirisha Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tarehe 14 Septemba, 2018. Download
Hotuba ya Mheshimiwa Kassim M. Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa kuahirisha Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tarehe 29 Juni, 2018 Download
Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Bajeti kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2017 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2018/19 pamoja na Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/18 na Mapendekezo ya Mapato na Matumizi ya Serikali Download
Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2018/19. Download

Education And Outreach

EDUCATION