Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Baraka I. Leonard

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika kikao na Watendaji kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge na Uratibu wakiongozwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Ummy Nderiananga. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii katika kikao cha kujadili taarifa  kuhusu   utekelezaji  wa  majukumu  ya  Mfuko wa Taifa wa Hifadhi za Jamii (NSSF) pamoja na taarifa ya TAESA kuhusu fursa za ajira na mikakati ya kuongeza fursa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Augustine Vuma (Mb)  akiongoza kikao leo tarehe 15 Oktoba 2024 katika kumbi za Bunge, Jijini Dodoma Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kikao leo tarehe 15 Oktoba 2024 ambapo vikao vya kamati za Bunge vinaendelea Jijini Dodoma. Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika na Serikali, mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Chama hicho. Wabunge wa Bunge la Tanzania wakishuhudia ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa CPA Kanda ya Afrika uliofunguliwa na Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango akimwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika uliofanyika katika Hoteli ya Gran Melia, Jijini Arusha. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika uliofanyika katika Hoteli ya Gran Melia, Jijini Arusha. Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard wakati alipowasili katika Hoteli ya Gran Melia, Jijini Arusha, kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa CPA Kanda ya Afrika. Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati alipowasili katika Hoteli ya Gran Melia, Jijini Arusha, kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa CPA Kanda ya Afrika.

Kamati Za Kudumu Za Bunge Zaanza Kukutana Jijini Dodoma

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) katika kikao kazi Jijini Dodoma

Dkt. Mpango Afungua Mkutano Mkuu Wa 53 Wa Mwaka Wa ...

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amefungua Mkutano Mkuu ...

Spika Dkt. Tulia Akutana Na Kuzungumza Na Rais Wa ...

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Du ...

Bunge Katika Mkutano Wa Kumi Na Sita

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
Muswada wa Sheria ya Shirika la Utangazaji Tanzania wa Mwaka 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 3) Act, 2024 First reading Download
The Child Protection Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024 Passed Download
The Prevention and Combating of Corruption (Amendment) Act, 2024 Passed Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Act, 2024 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA 15 WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 28 JUNI, 2024 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.) AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KWA MWAKA 2023 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023 Download
MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links