Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Baraka I. Leonard

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu, akizungumza wakati wa futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, kwa Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge tarehe 11 Machi, 2025 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Viongozi wa Wizara ya Fedha, Tume ya Mipango na Uwekezaji pamoja na Wabunge wakiwa katika Mkutano wa Wabunge wote wa uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Mpango wa Kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akiongoza Mkutano wa Wabunge wote wa  uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Mpango wa Kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati akifunga Mkutano wa 16 wa Mtandao wa Kamati za Bunge za Afya Afrika (NEAPACOH) uliofanyika Jijini Dar es Salaam Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Rais wa Baraza la Taifa la Jamhuri ya Cuba, Mhe. Esteban Lazo Hernandez mara baada ya kuzungumza naye katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Rais wa Baraza la Taifa la Jamhuri ya Cuba, Mhe. Esteban Lazo Hernandez katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard, akizungumza na wageni kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Ndg. Abdul-Razaq Badru, walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, pamoja na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Bishwadip Deyt (watatu kulia), alipomtembelea Bungeni Jijini Dodoma. Wengine ni Naibu Spika wa Bunge, Katibu wa Bunge na Maafisa kutoka Ubalozi wa India nchini. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Bishwadip Deyt, alipomtembelea Bungeni Jijini Dodoma. Waheshimiwa Wabunge na watumishi wa Bunge wakipatiwa Mafunzo kuhusu Akili Mnemba yaliyotolewa na Prof. Raghunathan Rengasamy kutoka Taasisi ya Teknolojia ya nchini India, tarehe 6 Februari, 2025 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mapendekezo Ya Mfumo Na Ukomo Wa Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka 2025/26

Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchembа Madelu (Mb), akiwasilisha katika Kamati ya Bunge zima Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26

Mapendekezo Ya Serikali Ya Mpango Wa Maendeleo Wa ...

Waziri wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mheshimiwa Prof. Kitila Ale ...

Maelezo Ya Mhe. Spika Kuhusu Matukio Ya Kabla Na W ...

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akisoma Bungeni Maelezo ya Mhe. Spi ...

Mkutano Wa Kumi Na Nane Wa Bunge Waanza Jijini Dod ...

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiiingia ukumbini kwa ajili ya kuongoza ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Supplementary Appropriation (For Financial Year 2024/25) Act, 2025 Passed Download
The National Health Insurance Fund (Amendment) Bill, 2025 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025] First reading Download
The National Housing Corporation (Amendment) Bill, 2025 First reading Download
The Labour Laws (Amendments) Bill, 2024) Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
MAELEZO YA MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMВА MADELU (MB), WAZIRI WA FEDHA AKIWASILISHA KATIKA KAMATI YA BUNGE ZIMA MAPENDEKEZO YA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download
MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2025/26 Download
MAELEZO YA SPIKA KUHUSU MATUKIO MUHIMU KUELEKEA NA WAKATI WA MKUTANO WA KUMI NA TISA WA BUNGE Download
BUNGE NEWSLETTER NINTH EDITION-FEB.2025 Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 17 WA BUNGE LA 12 TAREHE 8 NOVEMBA, 2024 DODOMA Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links