Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Spika wa Bunge la India (Lok Sabha), Mhe. Om Birla katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Delhi, India. Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la  Tanzania,  Mhe. Dkt. Tulia Ackson  akizungumza na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi. Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la   Tanzania,  Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Spika wa Baraza la Shirikisho la Urusi, Mhe. Valentina Matvienko  Jijini St. Petersburg, Urusi. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, pamoja na baadhi ya Wabunge baada ya hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha historia ya Bunge la Tanzania, Kitabu cha Wabunge wa Tanzania na nafasi zao na kumtangaza mtumiaji kinara wa huduma ya maktaba ya Bunge. Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akipokea Kitabu cha historia ya Bunge la Tanzania, Kitabu cha Wabunge wa Tanzania na nafasi zao kutoka kwa Waziri Mkuu wakati wa hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akizindua Kitabu cha historia ya Bunge la Tanzania, Kitabu cha Wabunge wa Tanzania na nafasi zao wakati wa hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge, Watumishi wa Bunge katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha historia ya Bunge la Tanzania, Kitabu cha Wabunge wa Tanzania na nafasi zao na mtumiaji kinara wa huduma ya maktaba ya Bunge. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Wabunge, Watumishi wa Bunge katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha historia ya Bunge la Tanzania, Kitabu cha Wabunge wa Tanzania na nafasi zao na mtumiaji kinara wa huduma ya maktaba ya Bunge. Viongozi mbalimbali wa Serikali, Bunge, Mahakama na Benki ya CRDB wakiongozwa na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakishuhudia mchezo wa Pool Table wakati wa CRDB-Grand Bunge Bonanza lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Abdulla akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya Bunge wakati wa CRDB-Grand Bunge Bonanza katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Timu ya Bunge iliibuka na ushindi wa vikapu 76-46 dhidi ya CRDB

Spika Dkt. Tulia Akutana Na Rais Wa India

​Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika mazungumzo na Rais wa India, Mhe. Droupadi Murmu yaliyofanyika katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Jijini New Delhi.

Tanzania Kunufaika Na Mafunzo Nchini India

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. ...

Dkt. Tulia Na Rais Putin Wajadiliana Namna Bora Ya ...

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. ...

Bunge Laahirishwa Hadi Agosti 27, 2024

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akisoma Hotuba ya kuahirisha Bunge baada ya ku ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Child Protection Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024 First reading Download
The Prevention and Combating of Corruption (Amendment) Act, 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Act, 2024 First reading Download
Muswada wa Sheria ya Viwanja vya Ndege Tanzania ya Mwaka 2024 First reading Download
The Finance Bill, 2024 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA 15 WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 28 JUNI, 2024 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.) AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KWA MWAKA 2023 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023 Download
MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links