Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Baraka I. Leonard

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilichopokea na kujadili Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge tarehe 27 Januari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akipokea tuzo ya mshindi wa kwanza kutoka kwa Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard, katika uandaaji bora wa Hesabu za Mwaka 2023 katika kundi la Wizara na Taasisi za Serikali, Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza  na Balozi wa India nchini, Mhe. Bishwadip Dey Ofisini kwake Jijini Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza  na Balozi wa Zimbabwe nchini, Mhe. Helen Dingani Ofisini kwake Jijini Dodoma Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard akiongoza kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Bunge kilichofanyika katika Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge ambaye pia ni Katibu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Baraka Leonard akizungumza na Mwenyekiti wa Makatibu Mezani wa Chama hicho, Ndg. Paran Tarawally, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Vijana katika Bunge la Tanzania katika Mafunzo yanayohusu Uongozi Bora na Maadili kwa Viongozi yaliyoandaliwa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Taasisi ya UONGOZI INSTITUTE. Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao  na Watendaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mazingira na Maji katika kikao cha kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa mwaka 2024 katika kikao kilichofanyika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Vita Kawawa akizungumza wakati wa kupokea na kujadili Taarifa ya Wawakilishi wa Tanzania katika Jukwaa la Maziwa Makuu, Bungeni Jijini Dodoma.

Kamati Za Kudumu Za Bunge Zaanza Kukutana Jijini Dodoma

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) katika kikao Jijini Dodoma

Timu Za Tanzania Zang'ara Mashindano Ya Mabunge Ya ...

Wachezaji za Bunge za Tanzania wakiongozwa na Mheshimiwa Salma Kikwete wakishang ...

Timu Za Bunge Zimeingia Uwanjani Michuano Ya Mabu ...

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Mheshimiwa Joseph Ntakirutimana akisa ...

Wachezaji Wa Bunge Sc Kushiriki Mashindano Ya Mabu ...

Mwenyekiti wa Bunge Sport Club, Mheshimiwa Abbas Tarimba akizungumza na waandish ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Labour Laws (Amendments) Bill, 2024) First reading Download
Muswada wa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi wa Mwaka 2024. First reading Download
The Environmental Management (Amendment) Bill, 2024) First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.4) Bill, 2024 First reading Download
Muswada wa Sheria ya Shirika la Utangazaji Tanzania wa Mwaka 2024 First reading Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 17 WA BUNGE LA 12 TAREHE 8 NOVEMBA, 2024 DODOMA Download
WONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download
MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2025/26 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHE. PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2025/26 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links