Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Baraka I. Leonard

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

 Mwenyekiti wa Bunge Bonanza, Mheshimiwa Festo Sanga akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maandalizi ya Bunge Bonanza la kwanza kwa Mwaka 2025 linalotarajia kufanyika Januari 25, 2025 Jijini Dodoma. Spika wa Bunge na Rais wa IPU, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Maspika wa Bunge wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati walipohudhuria Mkutano wa Maspika wa nchi hizo uliofanyika Jijini Nairobi, Kenya Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard (kushoto) akishikana mkono na Naibu Katibu wa Bunge la Kenya Ndg. Jeremiah Ndombi baada ya kukabidhi nafasi ya Mwenyekiti wa Mkutano wa Makatibu wa Nchi za EAC kwa Bunge la Kenya katika mkutano unaofanyika Nairobi  Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu, akiongoza mazungumzo kati ya Wabunge wa Bunge la Tanzania wa Mtandao kuhusu masuala ya malengo ya Maendeleo endelevu (SDG’S) na Wabunge wa Bunge la Kidemokrasia ya Congo wa Mtandao huo (SDG’S). Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilichopokea na kujadili Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, leo tarehe 28 Oktoba, 2024, katika Ukumbi wa Spika, Bungeni Jijini Dodoma.  Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard wakati wa kikao cha Watumishi hao kilichofanyika leo tarehe 26 Oktoba, 2024  katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard akiongoza kikao cha Watumishi wa Ofisi ya Bunge kilichofanyika leo tarehe 26 Oktoba, 2024  katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard akiongoza kikao cha Menejimenti ya ofisi ya Bunge kilichofanyika leo tarehe 25 Oktoba, 2024 katika ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard, akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ndg. Hamza Johari alipomtembelea tarehe 22 Oktoba, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika kikao na Watendaji kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge na Uratibu wakiongozwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Ummy Nderiananga.

Tanzia

Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile 1969-2024

Bunge Laitisha Bonanza La Simba Na Yanga Mjengoni

​Bunge limezindua maandalizi ya Bonanza la Mashabiki wa Simba na Yanga linalotar ...

Bunge Laahirishwa Hadi Januari 28, 2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akisoma Hot ...

Mapendekezo Ya Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa Wa Mwa ...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo ak ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Labour Laws (Amendments) Bill, 2024) First reading Download
Muswada wa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi wa Mwaka 2024. First reading Download
The Environmental Management (Amendment) Bill, 2024) First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.4) Bill, 2024 First reading Download
Muswada wa Sheria ya Shirika la Utangazaji Tanzania wa Mwaka 2024 First reading Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 17 WA BUNGE LA 12 TAREHE 8 NOVEMBA, 2024 DODOMA Download
WONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download
MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2025/26 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHE. PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2025/26 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links