Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu, akizungumza na viongozi wa Shirika la Ndege la Precision Air wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Ndg. Patrick Mwanri katika kikao kilichofanyika tarehe 15 Aprili, 2024 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.  Washiriki Mbalimbali wa Bunge Marathon (Km 5) katika mbio zilizofunguliwa na Spika Dkt. Tulia kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, leo tarehe 13 Aprili, 2024. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriiki katika mbio za Bunge Marathon (Km 5) baada ya kuzifungua kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, leo tarehe 13 Aprili, 2024. Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akiongoza Mkutano wa Watumishi wote wa ofisi ya Bunge uliofanyika tarehe 6 Aprili, 2024 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afuturisha wabunge katika viwanja vya Bunge leo tarehe 05 Aprili 2024, Bungeni JIjini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amefanya mazungumzo na Viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mkuu wa Fedha, Ndg. Juma Kimori katika kikao kilichofanyika leo tarehe 4 Aprili, 2024 Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameongoza kikao cha Kamati ya Uongozi  kilichopokea na kujadili mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Kumi na Tano wa Bunge tarehe 2 Aprili, 2024 Bungeni Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu, kwa niaba ya Spika wa Bunge ameongoza kikao cha Kamati ya Uongozi na Bajeti katika mashauriano kuhusu mambo ya muhimu yaliyojitokeza kwenye kamati za Kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara. Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt Tulia Ackson (Mb) akihutubia kwa mara ya kwanza Bunge la IPU toka kuchaguliwa kuwa Rais leo tarehe 24 Machi 2024 Wabunge kutoka Bunge la Tanzania, wakiongozwa na Mhe. Joseph Mhagama (Mb) wakishuhudia Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akifungua Mkutano wa 148 (IPU)

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Ofisi Ya Waziri Mkuu Na Ofisi Ya Bunge Kwa Mwaka Wa Fedha 2024/2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2024/2025

Spika Wa Bunge La Tanzania Amefungua Rasmi Mkutano ...

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. T ...

Ujumbe Kutoka Bunge La Tanzania Kushiriki Mkutano ...

Ujumbe kutoka Bunge la Tanzania, ukiongozwa na Spika wa Bunge la Tanzania na Rai ...

Mapendekezo Ya Serikali Ya Mpango Na Ukomo Wa Baje ...

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akiongoza Mkutano wa Wabunge wote wa kupokea M ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Law School of Tanzania (Amendment) Bill, 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024. First reading Download
Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024 First reading Download
The Social Security Laws (Amendments) Bill, 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.5) Bill, 2023 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
MAELEZO YA MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/2025 Download
MAELEZO YA MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), WAZIRI WA FEDHA AKIWASILISHA KATIKA KAMATI YA BUNGE ZIMA MAPENDEKEZO YA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024/25 Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.) WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 14 WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 16 FEBRUARI, 2024 BUNGENI JIJINI DODOMA Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 13 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 10 NOVEMBA, 2023 JIJINI DODOMA Download
MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024/25 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links