Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Baraka I. Leonard

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard, akizungumza na wageni kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Ndg. Abdul-Razaq Badru, walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, pamoja na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Bishwadip Deyt (watatu kulia), alipomtembelea Bungeni Jijini Dodoma. Wengine ni Naibu Spika wa Bunge, Katibu wa Bunge na Maafisa kutoka Ubalozi wa India nchini. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Bishwadip Deyt, alipomtembelea Bungeni Jijini Dodoma. Waheshimiwa Wabunge na watumishi wa Bunge wakipatiwa Mafunzo kuhusu Akili Mnemba yaliyotolewa na Prof. Raghunathan Rengasamy kutoka Taasisi ya Teknolojia ya nchini India, tarehe 6 Februari, 2025 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu, Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Bishwadip Deyt wakishiriki katika mafunzo kuhusu Akili Mnemba, tarehe 6 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akifunga mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge na watumishi wa Bunge kuhusu Akili Mnemba yaliyotolewa tarehe 6 Februari, 2025 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akikabidhi kombe kwa wachezaji wa timu ya Simba baada ya kuibuka washindi wa jumla katika Azania Bunge Bonanza lililowakutanisha Wabunge na Watumishi mashabiki wa Simba na Yanga. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge, pamoja na viongozi mbalimbali katika mazoezi ya kunyoosha viungo wakati wa Azania Bunge Bonanza lilofanyika katika viwanja Shule ya Sekondari ya John Merlin Ji Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Viongozi wengine wakati wa Azania Bunge Bonanza. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akimvisha medali Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa Azania Bunge Bonanza lilofanyika katika viwanja Shule ya Sekondari ya John Merlin Jijini Dodoma.

Maelezo Ya Mhe. Spika Kuhusu Matukio Ya Kabla Na Wakati Wa Mkutano Wa Kumi Na Tisa

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akisoma Bungeni Maelezo ya Mhe. Spika kuhusu matukio ya kabla na wakati wa Mkutano ujao wa Bunge (Mkutano wa Kumi na Tisa).

Mkutano Wa Kumi Na Nane Wa Bunge Waanza Jijini Dod ...

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiiingia ukumbini kwa ajili ya kuongoza ...

Kamati Za Kudumu Za Bunge Zaanza Kukutana Jijini D ...

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) katika ...

Timu Za Tanzania Zang'ara Mashindano Ya Mabunge Ya ...

Wachezaji za Bunge za Tanzania wakiongozwa na Mheshimiwa Salma Kikwete wakishang ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Supplementary Appropriation (For Financial Year 2024/25) Act, 2025 Passed Download
The National Health Insurance Fund (Amendment) Bill, 2025 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025] First reading Download
The National Housing Corporation (Amendment) Bill, 2025 First reading Download
The Labour Laws (Amendments) Bill, 2024) Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
MAELEZO YA SPIKA KUHUSU MATUKIO MUHIMU KUELEKEA NA WAKATI WA MKUTANO WA KUMI NA TISA WA BUNGE Download
BUNGE NEWSLETTER NINTH EDITION-FEB.2025 Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 17 WA BUNGE LA 12 TAREHE 8 NOVEMBA, 2024 DODOMA Download
WONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links