Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Baraka I. Leonard

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge, pamoja na viongozi mbalimbali katika mazoezi ya kunyoosha viungo wakati wa Azania Bunge Bonanza lilofanyika katika viwanja Shule ya Sekondari ya John Merlin Ji Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Viongozi wengine wakati wa Azania Bunge Bonanza. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akimvisha medali Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa Azania Bunge Bonanza lilofanyika katika viwanja Shule ya Sekondari ya John Merlin Jijini Dodoma. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge, pamoja na viongozi mbalimbali katika matembezi wakati wa Azania Bunge Bonanza lilofanyika katika viwanja Shule ya Sekondari ya John Merlin Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Roy Manalili alipomtembelea tarehe 29 Januari, 2025 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Naibu Spika Mstaafu wa Bunge la Afrika Kusini, Mhe. Lechesa Tsenoli, alipomtembelea tarehe 29 Januari, 2025 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akionyesha tuzo ya mshindi wa kwanza waliyopata Bunge katika uandaaji bora wa Hesabu za Mwaka 2023 katika kundi la Wizara na Taasisi za Serikali Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilichopokea na kujadili Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge tarehe 27 Januari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akipokea tuzo ya mshindi wa kwanza kutoka kwa Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard, katika uandaaji bora wa Hesabu za Mwaka 2023 katika kundi la Wizara na Taasisi za Serikali, Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza  na Balozi wa India nchini, Mhe. Bishwadip Dey Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Mkutano Wa Kumi Na Nane Wa Bunge Waanza Jijini Dodoma

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiiingia ukumbini kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Nane.

Kamati Za Kudumu Za Bunge Zaanza Kukutana Jijini D ...

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) katika ...

Timu Za Tanzania Zang'ara Mashindano Ya Mabunge Ya ...

Wachezaji za Bunge za Tanzania wakiongozwa na Mheshimiwa Salma Kikwete wakishang ...

Timu Za Bunge Zimeingia Uwanjani Michuano Ya Mabu ...

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Mheshimiwa Joseph Ntakirutimana akisa ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Labour Laws (Amendments) Bill, 2024) Passed Download
Muswada wa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi wa Mwaka 2024. First reading Download
The Environmental Management (Amendment) Bill, 2024) First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.4) Bill, 2024 Passed Download
Muswada wa Sheria ya Shirika la Utangazaji Tanzania wa Mwaka 2024 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 17 WA BUNGE LA 12 TAREHE 8 NOVEMBA, 2024 DODOMA Download
WONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download
MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2025/26 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHE. PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2025/26 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links