Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe. Florent Kyombo imepokea maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Miswada minne (4) ya Sheria tukio lililofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii ikipokea maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii ikipokea maoni ya Wadau kuhusu Miswada miwili ya Sheria ambayo ni Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 na Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria zinazohusu Ulinzi Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea Maelezo ya Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania. Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) yajadili taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu uwekezaji uliofanywa katika Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi (Ndc), akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Bunge waliopo katika Banda la Maonesho ya Wakulima Kitaifa Nzuguni Jijini Dodoma alipowatembelea tarehe 07 Agosti 2024. Watumishi wa Bunge wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Kilimo Mhe. David Silinde(Mb) aliyetembelea banda la Bunge kwenye Maonyesho ya Nanenane Kitaifa Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe Dkt. Tulia Ackson (Mb) amuapisha Mbunge Mteule Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo katika ofisi za Bunge Dar tarehe 25 Julai 2024. Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Spika wa Bunge la India (Lok Sabha), Mhe. Om Birla katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Delhi, India. Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la  Tanzania,  Mhe. Dkt. Tulia Ackson  akizungumza na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi.

Kamati Za Kudumu Za Bunge Zaanza Kukutana Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mhe. Augustine Vuma Holle akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa ya Msajili wa Hazina (TR) kuhusu uwekezaji uliofanywa katika Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

Spika Dkt. Tulia Amuapisha Mbunge Mteule Balozi Ma ...

​SPIKA wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani ...

Spika Dkt. Tulia Akutana Na Rais Wa India

​Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ...

Tanzania Kunufaika Na Mafunzo Nchini India

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Child Protection Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024 First reading Download
The Prevention and Combating of Corruption (Amendment) Act, 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Act, 2024 First reading Download
Muswada wa Sheria ya Viwanja vya Ndege Tanzania ya Mwaka 2024 First reading Download
The Finance Bill, 2024 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA 15 WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 28 JUNI, 2024 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.) AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KWA MWAKA 2023 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023 Download
MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links