Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Baraka I. Leonard

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilichopokea na kujadili Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, leo tarehe 28 Oktoba, 2024, katika Ukumbi wa Spika, Bungeni Jijini Dodoma.  Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard wakati wa kikao cha Watumishi hao kilichofanyika leo tarehe 26 Oktoba, 2024  katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard akiongoza kikao cha Watumishi wa Ofisi ya Bunge kilichofanyika leo tarehe 26 Oktoba, 2024  katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard akiongoza kikao cha Menejimenti ya ofisi ya Bunge kilichofanyika leo tarehe 25 Oktoba, 2024 katika ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard, akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ndg. Hamza Johari alipomtembelea tarehe 22 Oktoba, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika kikao na Watendaji kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge na Uratibu wakiongozwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Ummy Nderiananga. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii katika kikao cha kujadili taarifa  kuhusu   utekelezaji  wa  majukumu  ya  Mfuko wa Taifa wa Hifadhi za Jamii (NSSF) pamoja na taarifa ya TAESA kuhusu fursa za ajira na mikakati ya kuongeza fursa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Augustine Vuma (Mb)  akiongoza kikao leo tarehe 15 Oktoba 2024 katika kumbi za Bunge, Jijini Dodoma Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kikao leo tarehe 15 Oktoba 2024 ambapo vikao vya kamati za Bunge vinaendelea Jijini Dodoma. Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika na Serikali, mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Chama hicho.

Mkutano Wa Kumi Na Saba Wa Bunge Waanza Jijini Dodoma

Msafara wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ukiingia Bungeni kwa ajili Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge.

Kamati Za Kudumu Za Bunge Zaanza Kukutana Jijini ...

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) katika ...

Dkt. Mpango Afungua Mkutano Mkuu Wa 53 Wa Mwaka Wa ...

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amefungua Mkutano Mkuu ...

Spika Dkt. Tulia Akutana Na Kuzungumza Na Rais Wa ...

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Du ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
Muswada wa Sheria ya Shirika la Utangazaji Tanzania wa Mwaka 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 3) Act, 2024 First reading Download
The Child Protection Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024 Passed Download
The Prevention and Combating of Corruption (Amendment) Act, 2024 Passed Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Act, 2024 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA 15 WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 28 JUNI, 2024 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.) AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KWA MWAKA 2023 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023 Download
MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links