Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, pamoja na baadhi ya Wabunge baada ya hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha historia ya Bunge la Tanzania, Kitabu cha Wabunge wa Tanzania na nafasi zao na kumtangaza mtumiaji kinara wa huduma ya maktaba ya Bunge. Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akipokea Kitabu cha historia ya Bunge la Tanzania, Kitabu cha Wabunge wa Tanzania na nafasi zao kutoka kwa Waziri Mkuu wakati wa hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akizindua Kitabu cha historia ya Bunge la Tanzania, Kitabu cha Wabunge wa Tanzania na nafasi zao wakati wa hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge, Watumishi wa Bunge katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha historia ya Bunge la Tanzania, Kitabu cha Wabunge wa Tanzania na nafasi zao na mtumiaji kinara wa huduma ya maktaba ya Bunge. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Wabunge, Watumishi wa Bunge katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha historia ya Bunge la Tanzania, Kitabu cha Wabunge wa Tanzania na nafasi zao na mtumiaji kinara wa huduma ya maktaba ya Bunge. Viongozi mbalimbali wa Serikali, Bunge, Mahakama na Benki ya CRDB wakiongozwa na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakishuhudia mchezo wa Pool Table wakati wa CRDB-Grand Bunge Bonanza lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Abdulla akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya Bunge wakati wa CRDB-Grand Bunge Bonanza katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Timu ya Bunge iliibuka na ushindi wa vikapu 76-46 dhidi ya CRDB  Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki katika mchezo wa mpira wa pete dhidi ya timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati wa CRDB-Grand Bunge Bonanza katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Timu ya Bunge iliibuka na ushindi wa magoli 35-17. Timu ya Bunge ya wanawake ya kuvuta kamba ikiivuta timu ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wakati wa CRDB-Grand Bunge Bonanza lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiambatana na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Mahakama na Benki ya CRDB katika matembezi kuelekea uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwa ajili ya kushuhudia CRDB-Grand Bunge Bonanza.

Bunge Laahirishwa Hadi Agosti 27, 2024

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akisoma Hotuba ya kuahirisha Bunge baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kumi na Tano.

Mapendekezo Ya Serikali Ya Makadirio Ya Mapato Na ...

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasili Bungeni kwa ajili ya kuwasilisha ...

Hali Ya Uchumi Ya Mwaka 2023 Na Mpango Wa Maendel ...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo ak ...

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Fedha ...

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Child Protection Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024 First reading Download
The Prevention and Combating of Corruption (Amendment) Act, 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Act, 2024 First reading Download
Muswada wa Sheria ya Viwanja vya Ndege Tanzania ya Mwaka 2024 First reading Download
The Finance Bill, 2024 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA 15 WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 28 JUNI, 2024 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.) AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KWA MWAKA 2023 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023 Download
MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links