Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Baraka I. Leonard

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard amekutana na Ujumbe wa Washirika wa Idadi ya Watu na Maendeleo Kanda ya Afrika kutoka Uganda ukiongozwa na Ndg. Patrick Mugirwa, leo tarehe 11 Disemba, 2024 katika Ofisi yake, Bungeni, Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard, akiweka shada la maua katika kaburi la Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, muongozo, Kigamboni Jijini Dar es Salaam.  Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiweka shada la maua katika kaburi la Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, muongozo, Kigamboni Jijini Dar es Salaam.  Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akiweka shada la maua katika kaburi la Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, muongozo, Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Waheshimiwa Wabunge wakiaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, tarehe 2 Disemba, 2024 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Shughuli ya kuaga mwili wa Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Karimjee Jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa Shughuli ya kuaga mwili wa Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Karimjee Jijini Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa Kitaifa wakiongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan wakishuhudia mwili wa Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Karimjee Jijini Dar es Salaam. Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard, akisaini kitabu cha Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile. Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango, akisaini kitabu cha Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile.

Timu Za Tanzania Zang'ara Mashindano Ya Mabunge Ya Eac Yanayoendelea Mombasa Nchini Kenya

Wachezaji za Bunge za Tanzania wakiongozwa na Mheshimiwa Salma Kikwete wakishangilia ushindi wa michezo mbalimbali katika mashindano ya Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea Jijini Mombasa Nchini Kenya

Timu Za Bunge Zimeingia Uwanjani Michuano Ya Mabu ...

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Mheshimiwa Joseph Ntakirutimana akisa ...

Wachezaji Wa Bunge Sc Kushiriki Mashindano Ya Mabu ...

Mwenyekiti wa Bunge Sport Club, Mheshimiwa Abbas Tarimba akizungumza na waandish ...

Tanzia

Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile 1969-2024

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Labour Laws (Amendments) Bill, 2024) First reading Download
Muswada wa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi wa Mwaka 2024. First reading Download
The Environmental Management (Amendment) Bill, 2024) First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.4) Bill, 2024 First reading Download
Muswada wa Sheria ya Shirika la Utangazaji Tanzania wa Mwaka 2024 First reading Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 17 WA BUNGE LA 12 TAREHE 8 NOVEMBA, 2024 DODOMA Download
WONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/26 Download
MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2025/26 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHE. PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2025/26 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links