Parliament of Tanzania

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Spika wa Bunge Mheshimiwa  Job Ndugai akipiga kura ya kumchagua Rais wa Chama cha Mabunge Duniani (IPU) wakati wa Mkutano  wa Chama hicho unaoendelea jijini St Petersburg, Urusi. Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akikaribishwa na Watumishi wa Ofisi ya Bunge alipowasili kwa mara ya kwanza katika ofisi za Bunge Mjini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akizungumza na Menejimenti ya Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI katika Kikao na Waziri-Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo pamoja na watendaji wa Wizara hiyo  Mjini Dodoma. Wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC wakichambua na kujadili Taarifa ya Ukaguzi Maalum uliofanyika katika Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza  na Spika wa Bunge la Burundi, Mhe. Pasc Nyabenda (wa pili kulia) kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu wa 137 wa Umoja wa Mabunge Duniani unaofanyika St. Petersburg, Urusi.

Bunge laahirishwa hadi Novemba 7

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisoma hotuba ya kuarisha Bunge Mjini Dodoma

TAARIFA YA MHE SPIKA KUHUSU TUKIO LA KUSHAMBULIWA ...

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi na Tume ya B ...

Spika apokea ripoti za Kamati ya Almasi na Tanzani ...

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimkabidhi Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Ta ...

Mkutano wa Nane wa Bunge waanza Mjini Dodoma

Waheshimiwa Wabunge wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa kikao cha kwanza ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Tanzania Telecommnications Corporation Bill, 2017 First reading Download
The National Shipping Agencies Bill, 2017 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 4) Bill, 2017 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Ammendments) Act (No.3) 2017 Passed Download
The Railways Bill, 2017 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
The Finance Bill, 2017. Download
Maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa, Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 Download
Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Bajeti kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2016, Mpango wa Maendeleo wa Taifa mwaka 2017/18, Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2017/18. Download
Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2017/18. Download
Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018. Download

Education And Outreach

EDUCATION