Parliament of Tanzania

News & Events

11th Mar 2024

Waziri wa Ofisi ya Rais-Uwekezaji na Mipango, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2024/25 katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma

16th Feb 2024

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzana, Mheshimiwa Kassim Majaliwa (Mb) akisoma Hotuba ya kuahirisha Bunge mara baada ya kukamilika kwa Mkutano wa Kumi na Nne wa Bunge Jijini Dodoma.

31st Jan 2024

Mkutano wa Kumi na Nne wa Bunge la Kumi na Mbili umeanza kufanyika siku ya Jumanne tarehe 30 Januari, 2024 Bungeni Jijini Dodoma na unatarajiwa kuhitimishwa tarehe 16 Februari, 2024.

09th Dec 2023

Mwenyekiti wa timu ya Bunge Sports Club, Mhe.Tarimba Abbas amewashukuru viongozi wakuu wa Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kuwezesha kwao kufanyika kwa michezo hii ya 13 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

07th Dec 2023

​Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo tarehe 6 Desemba, 2023 ametembelea eneo lililoathirika kwa mafuriko na maporokoko ya tope na magogo Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara na kukabidhi bidhaa mbalimbali kwa waathirika wa mafuriko hayo.

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's