United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
13th May 2019
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisajili laini yake ya simu ya mkononi kwa alama za vidole wakati akizindua zoezi hilo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma
29th Apr 2019
Wachezaji wa Timu ya mpira wa miguu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakishangilia goli walilofunga dhidi ya Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwa lengo la kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
04th Apr 2019
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Misri, Burundi na Cameroon pamoja na Mawaziri, Manaibu Waziri, Wabunge na Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
02nd Apr 2019
Waheshimiwa Wabunge wakiwa wamesimama kwa ajli ya Dua kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge
13th Mar 2019
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip I. Mpango (Mb) akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20.