United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
13th Mar 2019
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene akizungumza katika kikao kati ya Kamati hiyo na uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Kamati ilitembelea Halmashauri hiyo kwa lengo la kuangalia utekelezaji wa Mfumo Akaunti Jumuifu (TSA).
12th Feb 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma.
29th Jan 2019
Waheshimiwa Wabunge wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Nne wa Bunge
11th Dec 2018
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (mwenye koti nyeusi) akiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo wa timu ya michezo ya Bunge baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma wakitokea Bujumbura, Burundi katika michezo ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
27th Nov 2018
Kikosi cha Timu ya mpira wa miguu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania