Parliament of Tanzania

News & Events

11th Dec 2018

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (mwenye koti nyeusi) akiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo wa timu ya michezo ya Bunge baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma wakitokea Bujumbura, Burundi katika michezo ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

27th Nov 2018

Kikosi cha Timu ya mpira wa miguu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

07th Nov 2018

Waheshimiwa Wabunge wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge Jijini Dodoma

22nd Oct 2018

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Faustine Ndugulile akitoa ufafanuzi mbele ya Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi katika majadiliano ya taarifa ya Wizara ya hiyo

04th Sep 2018

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisoma Dua kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's