United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
14th Jun 2018
Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2018-19
04th Jun 2018
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akipokea taarifa za Kamati Maalum za Bunge kwa niaba ya Waziri Mkuu zilizoundwa kuchunguza na kushauri kuhusu Sekta za Uvuvi wa Bahari Kuu na Gesi Asilia kutoka kwa Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai. Wengine katika picha kutoka kushoto kwa Mhe. Spika ni Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge Ndg. Stephen..
17th Apr 2018
Waheshimiwa Wabunge wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge Mjini Dodoma
12th Mar 2018
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Jasson Rweikiza (katikati) akizungumza na Wajumbe wa kamati hiyo maara baada ya kumchagua tena kushika nafasi hiyo.
Hon. Mwantatu Mbarak Khamis
House of Representatives (CCM)