Contributions
 |
Mdee, Halima James[CHADEMA]
Kawe Constituency |
|
| Session No |
Seating No |
Contribution Date |
Contribution To |
| 2 |
1 |
8 February 2011 |
UFAFANUZI KUHUSU KAMBI RASMI YA UPINZANI |
Mheshimiwa Spika, kwanza nikushukuru kwa kunipa fursa ya kuchangia hoja hii. Lakini pili, nichukue fursa hii kumkumbusha mchangiaji aliyepita, baba yangu Mheshimiwa Hamad Rashid Mohamed, Bunge la Tisa alipopata ridhaa ya kuwa Kiongozi wa Upinzani aliunda Kambi yake. Kanuni za Bunge zilivyobadilishwa, zikatengeneza asilimia ambayo ilifanya yeye ashindwe kutengeneza Kambi yake ndipo alipotuita. |
|
|
| |