| E-mail this to a friend | Printable version |
|
|||||
| Session No | Seating No | Contribution Date | Contribution To | ||
|---|---|---|---|---|---|
| 5 | 9 | 18 November 2011 | Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa Mwaka 2011 (The Constitutional Review Act, 2011) | ||
Mheshimiwa Spika, naunga mkono hoja. Kifungu 9(2)(a) – (h) naomba kusisitiza kwamba misingi mikuu ya Kitaifa na maadili ya jamii ipewe msukumo na umuhimu mkubwa ili kulinda Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar. Naomba hili lipewe umuhimu katika kazi ya Tume itayaoundwa. Kifungu cha 20, naomba katika uteuzi wa Wajumbe kutoka kwa Marais wawili ni vyema wakateua kwa fikra zao wenyewe bila ya kushurutishwa wala ushauri wa Wanasheria waliotajwa katika mapendekezo. |
|||||