Hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango juu ya Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa Mwaka 2016/2017
Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/17.