Parliament of Tanzania

Hotuba ya Mhe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihitimisha Mkutano wa Nne wa Bunge la Kumi na Moja tarehe 16 Septemba, 2016

Mheshimiwa Spika, awali ya yote, naomba kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda na kutupa afya njema hadi kutufikisha siku ya leo tunapohitimisha Mkutano wa Nne wa Bunge lako Tukufu tuliouanza tarehe 6 Septemba, 2016.

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's