Parliament of Tanzania

Hotuba ya Mhe. Kassim M. Majaliwa ( Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihitimisha Mkutano wa Sita wa Bunge la Kumi na Moja tarehe 10 Februari, 2017.

Mheshimiwa Spika, awali ya yote, naomba kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa rehma kwa kutujaalia afya njema na kutufikisha siku ya leo tunapohitimisha Mkutano wa Sita wa Bunge lako Tukufu tuliouanza tarehe 31 Januari, 2017.

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's