United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
aarifa ya Kamati ya Bunge ya Bajeti kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2016, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2017/18, Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2016/17 pamoja na Mapendekezo ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18.