United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
Mheshimiwa Spika, tarehe 7 Novemba, 2017 tulianza kikao cha kwanza cha mkutano wa tisa wa Bunge lako tukufu na leo tunafikia tamati. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuhitimisha kwa amani na afya njema shughuli zote zilizopangwa.