Parliament of Tanzania

News & Events

07th Nov 2018

Waheshimiwa Wabunge wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge Jijini Dodoma

22nd Oct 2018

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Faustine Ndugulile akitoa ufafanuzi mbele ya Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi katika majadiliano ya taarifa ya Wizara ya hiyo

04th Sep 2018

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisoma Dua kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge

24th Aug 2018

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Ndogo katika majadiliano baada ya mafunzo ya kuwajengea uelewa kuhusu miswada itakayojadiliwa Bungeni katika Mkutano wa Bunge la Kumi na mbili (12) unaotegemewa kuanza tarehe 4 Septemba, 2018 Jijini Dodoma.

16th Jul 2018

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge, jijini Dodoma Juni 29, 2018.

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's