Parliament of Tanzania

News & Events

25th Jun 2016

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akishiriki Kampeni ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia Waandishi wa Habari kupata Bima ya Afya iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.

23rd Jun 2016

Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti Mhe. Hawa Ghasia akiwasilisha maoni ya Kamati hiyo kuhusu muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2016.

20th Jun 2016

Waheshimiwa Wabunge wakimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt Philip Mpango na Naibu Waziri Dkt Ashatu Kijaji mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17.

17th Jun 2016

Makamu Mwenyekiti Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Mhe Almas Athuman Maige akisoma taarifa ya Kamati.

14th Jun 2016

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango akiwasili Bungeni kusoma Hotuba ya mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's