Parliament of Tanzania

News & Events

08th Sep 2017

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi na Tume ya Bunge walipokutana kwa dharura kujadili tukio la kushambuliwa kwa Mhe Tundu Lissu

06th Sep 2017

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimkabidhi Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Taarifa za Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi katika tukio lililofanyika katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.

05th Sep 2017

Waheshimiwa Wabunge wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa kikao cha kwanza cha Mkutano wa Nane wa Bunge Mjini Dodoma.

25th Aug 2017

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Ndugai akiagana na Balozi wa China nchini LU Youqing anayemaliza muda wake mara baada ya kuzungumza nae Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

24th Aug 2017

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kujiunga na Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) kutoka kwa Rais wa Umoja huo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam anayeshuhudia kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja huo Mheshimiwa. N’ZI Koffi.

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Member of the Parliament

View All MP's