Parliament of Tanzania

News & Events

09th Jun 2017

Waziri wa Fedha Dkt Philip Mpango akionesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 kabla ya kuingia Bungeni kwa ajili ya kusoma hotuba ya Bajeti hiyo.

24th May 2017

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Bunge la Kenya linavyofanya kazi kutoka kwa Spika wa Bunge hilo Mhe Justin Muturi.Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.

11th May 2017

Waheshimiwa Wabunge wakiwa Bungeni wakiendelea na Mkutano wa Bunge la Bajeti

08th May 2017

Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika kikao Bungeni Mjini Dodoma

31st Mar 2017

MAREHEMU DKT. ELLY MARKO MACHA (18.06.1962 – 31.03.2017)

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Dr. Thomas D. Kashililah

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Member of the Parliament

Hon. Hamoud Abuu Jumaa

Kibaha Vijijini (CCM)

Contributions (5)

Profile

Hon. Nassor Suleiman Omar

Ziwani (CUF)

Profile

View All MP's