Parliament of Tanzania

News & Events

27th Jul 2017

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipongezwa na Naibu Spika wa Cameroon, Mhe. Monjowa Lifaka baada ya kushinda nafasi ya Mwenyekiti wa Maspika na Viongozi wa Bunge katika Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika.

14th Jul 2017

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Rais Mstaafu wa Ireland ambae pia ni Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na masuala ya Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Mhe. Mary Robinson alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katikati ni Mama Graca Machel.

05th Jul 2017

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza Bungeni

05th Jul 2017

Waheshimiwa Wabunge wakiimba Wimbo wa Taifa wakati wakuahirisha Bunge

04th Jul 2017

Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika Kikao Bungeni Mjini Dodoma

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's