Parliament of Tanzania

News & Events

27th Oct 2016

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakiwa katika kikao cha Kamati Mjini Dodoma

27th Oct 2016

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), (mwenye shati jeupe) Mhe. Vedasto Ngombale (Mb) akizungumza wakati wa kikao cha Kamati hiyo Mjini Dodoma.

26th Oct 2016

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakipitia na kujadili Hesabu za mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) hiyo za mwaka wa fedha 2014/15.

25th Oct 2016

Wajumbe wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji wakiwa kwenye kikao wakati walipokutana na Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mjini Dodoma.

24th Oct 2016

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha maombolezo cha msiba wa aliyekuwa mfanyakazi wa Bunge Bi Khadija Idrisa Mussa kabla ya kuuaga mwili huo na kisha kusafirishwa Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mazishi.

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Dr. Thomas D. Kashililah

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's