Parliament of Tanzania

News & Events

24th Oct 2016

Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson akifungua mafunzo ya siku mbili ya waheshimiwa wabunge kuhusu namna ya kuwajengea uwezo wabunge jinsi kuhusisha Bunge katika kupambana na Maambukizi ya UKIMWI, mimba za utotoni na vifo vya kina mama wajawazito na watoto.

21st Oct 2016

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Benno Ndulu akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mjini Dodoma wakati Kamati hiyo ilipokutana na Watendaji kutoka BOT.

21st Oct 2016

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Mheshimiwa Doto Biteko (Mb) akisisitiza jambo katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma

21st Oct 2016

Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Eng. Atashasta J. Nditiye akitoa ufafanuzi katika Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma. Kulia kwake ni Katibu Kamati Ndugu Gerald Magili.

20th Oct 2016

Naibu Spika Mhe. Tulia Ackson (kulia) akifuatilia majadiliano ya wajumbe wa Kamati hiyo.

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Dr. Thomas D. Kashililah

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Member of the Parliament

Hon. Vedasto Edgar Ngombale Mwiru

Kilwa Kaskazini (CUF)

Questions / Answers(6 / 0)

Supplementary Questions / Answers (4 / 0)

Contributions (5)

Profile

Hon. Silvestry Fransis Koka

Kibaha Mjini (CCM)

Questions / Answers(3 / 0)

Supplementary Questions / Answers (3 / 0)

Profile

Hon. Elibariki Emmanuel Kingu

Singida Magharibi (CCM)

Contributions (3)

Profile

View All MP's