Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Contributions
nil
Answers
nil
Commettees
1
Ministries
nil
MHE. AMINA DAUD HASSAN: Mheshimiwa Mwenyekiti, nampongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha nyingi kwa majeshi yetu haya.
Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba kumpongeza Mheshimiwa Waziri, Naibu Waziri pamoja na watendaji wao wote katika Wizara hii.
Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba kutoa mchango wangu kwa kulishauri Jeshi la Polisi kupitia Kamisheni zake nane wawe na Kamisheni tisa kwa makampuni mahsusi itakayosimamia tasnia ya makampuni za ulinzi binafsi hivyo itapelekea ufanisi na tija kwenye tasnia hiyo za kamponi binafsi za ulinzi.
Mheshimiwa Mwenyekiti, naunga mkono hoja.