Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ludewa
Contributions
nil
Answers
nil
Commettees
1
Ministries
nil
MHE. JOSEPH Z. KAMONGA: Mheshimiwa Spika, hali ya barabara kutoka Njombe kwenda Ludewa ni mbaya sana, zaidi ya mwaka sasa mkandarasi hajarudi site. Sehemu ya Lusitu -Njombe spring za magari zitaharibika sana, bodi za magari zinalegea sana, matumizi ya mafuta ya magari yameongezeka na kuongoza gharama za uendeshaji na masaa mengi yanatumika kusafiri kwenye eneo lisilo na umbali mrefu.