Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 15 Sitting 30 Home Affairs Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi 400 2024-05-21

Name

Ritta Enespher Kabati

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. DKT. RITTA E. KABATI aliuliza:-

Je, ni lini Serikali itajenga Ofisi ya Polisi ya Wilaya ya Kilolo?

Name

Daniel Baran Sillo

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Babati Vijijini

Answer

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu:-

Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali imeshaanza ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Kilolo na uko kwenye hatua ya umaliziaji. Mnamo tarehe 7 Februari, 2024 Serikali imetoa kiasi cha shilingi milioni 400, kwa ajili ya kumalizia ujenzi huo, ahsante.