Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 15 Sitting 55 Works and Transport Wizara ya Ujenzi 714 2024-11-27

Name

Samweli Xaday Hhayuma

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Hanang'

Primary Question

MHE. SAMWELI X. HHAYUMA aliuliza: -

Je, Serikali imefikia hatua gani ya ujenzi wa barabara ya Haydom hadi Mogitu kwa kiwango cha lami?

Name

Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Ileje

Answer

NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu: -

Mheshimiwa Spika, kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa barabara ya Haydom – Mogitu yenye urefu wa kilometa 70 imekamilika. Kwa sasa Serikali inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya kuijenga kwa kiwango cha lami.