Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 17 | Sitting 9 | Home Affairs | Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi | 143 | 2024-11-08 |
Name
Juma Othman Hija
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Tumbatu
Primary Question
MHE. TAMIMA HAJI ABASS K.n.y. MHE. JUMA OTHMAN HIJA aliuliza: -
Je, Serikali ina mpango gani wa kutatua tatizo la makazi ya askari Kituo cha Polisi Mkokotoni? (Makofi)
Name
Daniel Baran Sillo
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Babati Vijijini
Answer
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu: -
Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali kupitia Jeshi la Polisi imeshatenga eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 2,500 ambalo litatumika kujengwa maghorofa sita yatakayoishi jumla ya familia 24 za askari polisi. Fedha kwa ajili ya ujenzi huo zinatarajiwa kuanza kutengwa kwenye bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Copyright © Bunge Polis 2024. All Rights Reserved