Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 17 Sitting 9 Works and Transport Wizara ya Ujenzi 150 2024-11-08

Name

Ally Anyigulile Jumbe

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Kyela

Primary Question

MHE. ALLY A. J. M. JUMBE aliuliza:-

Je, lini wananchi wanaopisha ujenzi wa barabara ya Ibanda – Itungi Port wa Iponjola - Kiwila Port watalipwa fidia zao?

Name

Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Ileje

Answer

NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu:-

Mheshimiwa Naibu Spika, zoezi la uthamini wa mali za wananchi zitakazoathirika wakati wa ujenzi wa barabara ya Ibanda – Itungi Port na Iponjola – Kiwira Port limekamilika. Serikali inaendelea kutafuta fedha ili kulipa fidia kwa wananchi hao.