Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 17 | Sitting 4 | Home Affairs | Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi | 60 | 2024-11-01 |
Name
Ritta Enespher Kabati
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Primary Question
MHE. DKT. RITTA E. KABATI aliuliza:-
Je, kuna mpango gani wa kuunga mkono juhudi za wananchi wa Kata ya Mdabulo Mufindi wanaojenga Kituo cha Polisi kwa nguvu zao wenyewe?
Name
Daniel Baran Sillo
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Babati Vijijini
Answer
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu:-
Mheshimiwa Spika, Serikali kupitia Jeshi la Polisi imeshafanya tathmini kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa jengo la Kituo cha Polisi Mdabulo ili kuunga mkono nguvu za wananchi ambao umefikia kwenye hatua ya lenta na kiasi cha fedha shilingi 56,000,000 kinahitajika. Fedha hizo zinatarajiwa kutengwa toka kwenye Mfuko wa Tuzo na Tozo kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Copyright © Bunge Polis 2024. All Rights Reserved