Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 11 | Sitting 39 | Information, Communication and Information Technology | Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari | 507 | 2023-06-02 |
Name
Katani Ahmadi Katani
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Tandahimba
Primary Question
MHE. MUSSA R. SIMA K.n.y. MHE. KATANI A. KATANI aliuliza: -
Je, lini Serikali itapeleka mawasiliano ya simu yenye usikivu katika Kata za Litehu, Ngonja na Mkwiti Wilayani Tandahimba?
Name
Kundo Andrea Mathew
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Bariadi
Answer
NAIBU WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI alijibu: -
Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Katani Ahmadi Katani, Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, kama ifuatavyo: -
Mheshimiwa Spika, vijiji vilivyopo katika Kata za Mkwiti, Litehu na Ngonja vitafanyiwa tathmini kujua mahitaji halisi ya huduma ya mawasiliano na hatimaye kuingizwa katika orodha ya miradi ya Serikali itakayotekelezwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kulingana na upatikanaji wa fedha, ahsante.
Copyright © Bunge Polis 2024. All Rights Reserved