Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Baraka I. Leonard

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Katibu Mpya wa Bunge, Ndg. Baraka Ildephonce Leonard katika ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024 mara baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Katibu Mpya wa Bunge, Ndg. Baraka Ildephonce Leonard katika ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024. Katibu Mpya wa Bunge, Ndg. Baraka Ildephonce Leonard (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na Watumishi wa Bunge wakati alipowasili katika ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024. Katibu Mpya wa Bunge, Ndg. Baraka Ildephonce Leonard akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili katika ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024. Watumishi wa ofisi ya Bunge wakimpokea Katibu Mpya wa Bunge, Ndg. Baraka Ildephonce Leonard wakati alipowasili katika ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024 mara baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo. Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa na aliowaapisha tarehe 19 Septemba, 2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia mbele ni Katibu Mpya wa Bunge, Ndg. Baraka Ildephonce Leonard.  Katibu Mpya wa Bunge, Ndg. Baraka Ildephonce Leonard (wa kwanza kushoto mbele) pamoja na Viongozi wengine wakila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma wakati wa hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha, Ndg. Baraka Ildephonce Leonard kuwa Katibu Mpya wa Bunge kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu, amefungua warsha ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Bunge pamoja na Wajumbe kutoka AZAKI Mbalimbali hapa nchini iliyohusu ushirikiano baina ya Bunge na Azaki, Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza na Mkurugenzi Mkuu Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile alipomtembelea tarehe 4 Septemba, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Bunge Katika Mkutano Wa Kumi Na Sita

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc pamoja na Makatibu mezani wakiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia Bungeni kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Sita wa Bunge.

Kamati Za Kudumu Za Bunge Zaanza Kukutana Jijini D ...

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mh ...

Spika Dkt. Tulia Amuapisha Mbunge Mteule Balozi Ma ...

​SPIKA wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani ...

Spika Dkt. Tulia Akutana Na Rais Wa India

​Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
Muswada wa Sheria ya Shirika la Utangazaji Tanzania wa Mwaka 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 3) Act, 2024 First reading Download
The Child Protection Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024 Passed Download
The Prevention and Combating of Corruption (Amendment) Act, 2024 Passed Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Act, 2024 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA 15 WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 28 JUNI, 2024 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.) AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KWA MWAKA 2023 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023 Download
MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links