Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu, amefungua warsha ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Bunge pamoja na Wajumbe kutoka AZAKI Mbalimbali hapa nchini iliyohusu ushirikiano baina ya Bunge na Azaki, Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza na Mkurugenzi Mkuu Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile alipomtembelea tarehe 4 Septemba, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na ugeni kutoka Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wake, Ndg. Peter Nalitolera (katikati) walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Muungano wa Visiwa vya Comoro ukiongozwa na Spika wa Bunge hilo, Mhe. Moustadroine Abdou (wapili kushoto) walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma tarehe 28 Agosti, 2024. Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati mstari wa mbele) katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (watatu kulia) na Viongozi wengine mara baada ya kukamilika kwa NMB Bunge Bonanza. Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge na wadau mbalimbali  kushiriki  katika NMB Bunge Bonanza Spika wa Comoro Mhe. Moustadroine Abdou akisalimiana na wananchi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar-es-salaam Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao cha Kamati ya uongozi kilichopokea na kujadili Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Kumi na Sita wa Bunge tarehe 26 Agosti, 2024 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma. Ujumbe wa Baraza la Mashauriano la watu wa Indonesia (MPR) wakiwa katika picha ya pamoja na baaadhi ya Wabunge wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Vita Kawawa (Mb)

Bunge Katika Mkutano Wa Kumi Na Sita

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc pamoja na Makatibu mezani wakiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia Bungeni kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Sita wa Bunge.

Kamati Za Kudumu Za Bunge Zaanza Kukutana Jijini D ...

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mh ...

Spika Dkt. Tulia Amuapisha Mbunge Mteule Balozi Ma ...

​SPIKA wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani ...

Spika Dkt. Tulia Akutana Na Rais Wa India

​Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
Muswada wa Sheria ya Shirika la Utangazaji Tanzania wa Mwaka 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 3) Act, 2024 First reading Download
The Child Protection Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024 Passed Download
The Prevention and Combating of Corruption (Amendment) Act, 2024 Passed Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Act, 2024 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA 15 WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 28 JUNI, 2024 Download
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.) AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KWA MWAKA 2023 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023 Download
MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links