Parliament of Tanzania

Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge kuhusu Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2016/2017 - 2020/2021)

Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa Kanuni ya 94(5) ya Kanuni za Bunge, Toleo la Mwaka 2016, naomba kuwasilisha maoni ya Kamati ya Bunge ya Bajeti kuhusu Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2016/17-2020/21) unaolenga kujenga msingi wa Uchumi wa Viwanda

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's