Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.

Hon. Juma Ali Juma

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Dimani

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

0

Ministries

nil

Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.

MHE. JUMA ALI JUMA: Mheshimiwa Mwenyekiti, nampongeza sana Mheshimiwa Waziri kwa uwasilishaji wake Mungu ampe nguvu ili aweze kutimiza majukumu yake katika kulitumikia Taifa.

Mheshimiwa Mwenyekiti, aidha nimpongeze Naibu Waziri, kwa msaada mkubwa anaompa Mheshimiwa Waziri.

Mheshimiwa Mwenyekiti, mwisho naunga mkono hoja asilimia mia moja.