Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 – Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Hon. Fakharia Shomar Khamis

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

1

Ministries

nil

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 – Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

MHE. FAKHARIA SHOMAR KHAMIS: Mheshimiwa
Mwenyekiti, ujenzi wa ofisi ya Mambo ya Nje Zanzibar, hii itasaidia kuwa na jengo la ofisi ambalo lipo chini ya Muungano wa Tanzania.

Mheshimiwa Mwenyekiti, kuhusu uraia wa nchi mbili (diaspora) ni jambo la siku nyigi lakini bado halijafanikiwa. Ofisi yako ukurasa wa 112 na113 ndiyo kwanza inasimamia usajili, ina maana fursa hii ya kuinua uchumi wetu wa Tanzania bado?

Kuhusu diplomasia ya kiuchumi hususan kwenda katika uchumi wa viwanda, hii vita ni kubwa na bado nchi yetu hatujajipanga, sababu elimu bado kutolewa kwa mabalozi wetu, Balozi anakwenda nchi za nje lakini haielewi Sera ya Diplomasia ya Uchumi. Tunaomba elimu itolewe.

Mheshimiwa Mwenyekiti, naunga mkono hoja.