Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 15 Sitting 29 Works and Transport Wizara ya Ujenzi 380 2024-05-20

Name

Omari Mohamed Kigua

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Kilindi

Primary Question

MHE. OMARI M. KIGUA aliuliza:-

Je, lini Serikali itajenga Barabara ya Kiberashi hadi Songe Kilindi kwa kiwango cha lami?

Name

Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Ileje

Answer

NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu:-

Mheshimiwa Naibu Spika, Barabara ya Kiberashi – Songe (Kilindi) – Kwaluguru yenye urefu wa kilometa 127 imeingizwa kwenye Mpango wa Bajeti ya mwaka 2024/2025 kwa ajili ya kufanyiwa upembuzi yakinifu na usanifu wa kina. Kazi hii ikikamilika, Serikali itatafuta fedha kwa ajili ya kuijenga kwa kiwango cha lami, ahsante.