Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 15 | Sitting 45 | Justice and Constitutional Affairs | Wizara ya Katiba na Sheria | 589 | 2024-06-11 |
Name
Kavejuru Eliadory Felix
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Buhigwe
Primary Question
MHE. KAVEJURU E. FELIX aliuliza:-
Je, ni lini Serikali itajenga Mahakama ya Wilaya ya Buhigwe ili wananchi waweze kupata huduma?
Name
Sagini Jumanne Abdallah
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Butiama
Answer
NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA alijibu:-
Mheshimiwa Mwenyekiti, Mahakama ya Wilaya ya Buhigwe ni miongoni mwa mahakama 18 za wilaya zilizojengwa na Serikali katika mwaka wa fedha 2022/2023. Ujenzi wa mahakama hiyo umekamilika na wananchi wanaendelea kupata huduma za kimahakama katika Mahakama hiyo tangu mwaka 2023, nashukuru.
Copyright © Bunge Polis 2024. All Rights Reserved