Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 17 | Sitting 4 | Home Affairs | Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi | 59 | 2024-11-01 |
Name
Khamis Yussuf Mussa
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Kwahani
Primary Question
MHE. KHAMIS YUSSUF MUSSA aliuliza:-
Je, lini Serikali itakarabati Kituo cha Polisi Ng’ambo, Kwahani kwa kuwa ni chakavu na cha muda mrefu?
Name
Daniel Baran Sillo
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Babati Vijijini
Answer
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu:-
Mheshimiwa Spika, Kituo cha Polisi Ng’ambo – Kwahani ni kituo cha Daraja B na jengo lake ni la siku nyingi na ni chakavu. Tathmini kwa ajili ya kufanya ukarabati imefanyika na kiasi cha fedha shilingi 109,582,820 kinahitajika. Fedha hizo zinatarajia kutengwa toka kwenye Mfuko wa Tuzo na Tozo kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ahsante.
Copyright © Bunge Polis 2024. All Rights Reserved